Yeremia 44:22 BHN

22 Mwenyezi-Mungu hakuweza kuvumilia tena matendo yenu maovu na mambo ya kuchukiza mliyotenda; ndiyo maana nchi yenu imekuwa ukiwa, jangwa, laana na bila wakazi, kama ilivyo mpaka leo.

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:22 katika mazingira