Yeremia 44:27 BHN

27 Mimi nawachungulia hao sio kwa mema bali kwa mabaya. Watu wote wa Yuda nchini Misri wataangamizwa kwa upanga na njaa, asibaki hata mtu mmoja.

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:27 katika mazingira