Yeremia 44:7 BHN

7 “Sasa, mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nauliza hivi: Mbona mnajiletea madhara makubwa namna hii, na kujiangamiza nyinyi wenyewe, wanaume kwa wanawake, watoto wadogo na wachanga, hata pasibaki mtu katika Yuda?

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:7 katika mazingira