Yeremia 44:9 BHN

9 Je, mmesahau uovu wa wazee wenu, uovu wa wafalme wa Yuda, uovu wa wake zao na uovu wenu nyinyi wenyewe na wa wake zenu, ambao mliufanya nchini Yuda na kwenye barabara za Yerusalemu?

Kusoma sura kamili Yeremia 44

Mtazamo Yeremia 44:9 katika mazingira