Yeremia 45:5 BHN

5 Je, wewe unajitakia mambo makubwamakubwa? Usiyatafute! Achana nayo, maana, ninaleta maangamizi juu ya wanadamu wote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Wewe tuzo lako ni hili: Nitayaokoa maisha yako kila mahali utakapokwenda.”

Kusoma sura kamili Yeremia 45

Mtazamo Yeremia 45:5 katika mazingira