Yeremia 46:21 BHN

21 Hata askari wake wa kukodiwa ni kama ndama wanono;nao pia wamegeuka, wakakimbia pamoja,wala hawakuweza kustahimili,kwa maana siku yao ya kuangamizwa imefika,wakati wao wa kuadhibiwa umewadia.

Kusoma sura kamili Yeremia 46

Mtazamo Yeremia 46:21 katika mazingira