Yeremia 46:27 BHN

27 “Lakini wewe usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu,usifadhaike, ee Israeli;maana, kutoka mbali nitakuokoa,nitakuja kuwaokoa wazawa wakokutoka nchi walimohamishwa.Yakobo utarudi na kutulia na kustarehe,wala hakuna yeyote atakayekutia hofu.

Kusoma sura kamili Yeremia 46

Mtazamo Yeremia 46:27 katika mazingira