Yeremia 48:13 BHN

13 Hapo Wamoabu watamwonea aibu mungu wao Kemoshi, kama vile watu wa Israeli walivyomwonea aibu Betheli, mungu waliyemtegemea.

Kusoma sura kamili Yeremia 48

Mtazamo Yeremia 48:13 katika mazingira