46 Ole wenu watu wa Moabu!Watu wa Kemoshi sasa mmeangamizwa,wana wenu wamechukuliwa mateka,binti zenu wamepelekwa uhamishoni.
Kusoma sura kamili Yeremia 48
Mtazamo Yeremia 48:46 katika mazingira