Yeremia 48:8 BHN

8 Mwangamizi atapita katika kila mji,hakuna mji utakaomwepa;kila kitu mabondeni kitaangamianyanda za juu zitaharibiwa,kama alivyosema Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yeremia 48

Mtazamo Yeremia 48:8 katika mazingira