Yeremia 49:16 BHN

16 Vitisho unavyotoa na kiburi chako vimekudanganya,ewe ukaaye katika mapango ya miamba,unayeishi juu ya kilele cha mlima!Ingawa unaweka makao yako juu kama ya tai,mimi nitakuporomosha kutoka huko uliko.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:16 katika mazingira