Yeremia 49:34 BHN

34 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia nabii Yeremia kuhusu Elamu, mwanzoni mwa utawala wa Sedekia, mfalme wa Yuda.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:34 katika mazingira