Yeremia 49:36 BHN

36 Nitaleta upepo kutoka pande zote za mbingu; nitawatawanya kila mahali, wala hapatakuwa na taifa lolote ambalo halitakuwa na wakimbizi wa Elamu.

Kusoma sura kamili Yeremia 49

Mtazamo Yeremia 49:36 katika mazingira