Yeremia 5:1 BHN

1 Kimbieni huko na huko mjini Yerusalemu;pelelezeni na kujionea wenyewe!Chunguzeni masoko yakemwone kama kuna mtu atendaye hakimtu atafutaye ukweli;akiwako, basi Mwenyezi-Mungu atausamehe Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yeremia 5

Mtazamo Yeremia 5:1 katika mazingira