Yeremia 5:3 BHN

3 Ee Mwenyezi-Mungu, wewe watafuta daima uaminifu.Umewatwanga, lakini hawakuona uchungu;umewateketeza, lakini walikataa kukosolewa.Wamezifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko mwamba;wamekataa kabisa kurudi kwako.

Kusoma sura kamili Yeremia 5

Mtazamo Yeremia 5:3 katika mazingira