Yeremia 5:31 BHN

31 Manabii wanatabiri mambo ya uongo,makuhani nao hutafuta faida yao wenyewe;na watu wangu wanaona jambo hilo kuwa sawa. Lakini mwisho utakapofika mtafanyaje?”

Kusoma sura kamili Yeremia 5

Mtazamo Yeremia 5:31 katika mazingira