Yeremia 50:11 BHN

11 “Enyi waporaji wa mali yangu!Japo mnafurahi na kushangilia,mnarukaruka kama mtamba wa ng'ombe anayepura nafaka,na kulia kama farasi dume,

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:11 katika mazingira