Yeremia 50:28 BHN

28 “Sikiliza! Wakimbizi na watoro kutoka nchi ya Babuloni wanakuja kutangaza huko Siyoni jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alivyolipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:28 katika mazingira