Yeremia 50:39 BHN

39 “Kwa hiyo wanyama wa porini, mbwamwitu pamoja na mbuni, watakaa Babuloni. Hapatakaliwa kamwe na watu vizazi vyote vijavyo.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:39 katika mazingira