42 Wameshika pinde zao na mikuki;ni watu wakatili na wasio na huruma.Vishindo vyao ni kama mvumo wa bahari,wamepanda farasi.Wamejipanga tayari kwa vita,dhidi yako wewe Babuloni!
Kusoma sura kamili Yeremia 50
Mtazamo Yeremia 50:42 katika mazingira