Yeremia 51:15 BHN

15 Mwenyezi-Mungu ndiye aliyeumba dunia kwa nguvu yake,aliyeuimarisha ulimwengu kwa hekima yake,na kwa maarifa yake akazitandaza mbingu.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:15 katika mazingira