Yeremia 51:24 BHN

24 “Nitaiadhibu Babuloni na wakazi wote wa Kaldayo mkiona kwa macho yenu wenyewe, kwa sababu ya uovu wote walioufanya katika Siyoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:24 katika mazingira