Yeremia 51:27 BHN

27 Tweka bendera ya vita duniani,piga tarumbeta kati ya mataifa;yatayarishe mataifa kupigana naye;ziite falme kuishambulia;falme za Ararati, Mini na Ashkenazi.Weka majemadari dhidi yake;walete farasi kama makundi ya nzige.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:27 katika mazingira