Yeremia 51:36 BHN

36 Kwa hiyo asema hivi Mwenyezi-Mungu:“Nitawatetea kuhusu kisa chenu,na kulipiza kisasi kwa ajili yenu.Nitaikausha bahari ya Babulonina kuvifanya visima vyake vikauke.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:36 katika mazingira