44 Nitamwadhibu mungu Beli huko Babuloni,nitamfanya akitoe alichokimeza.Mataifa hayatamiminika tena kumwendea.Ukuta wa Babuloni umebomoka.
Kusoma sura kamili Yeremia 51
Mtazamo Yeremia 51:44 katika mazingira