46 Msife moyo wala msiwe na hofu,kwa sababu ya uvumi mnaosikia nchini.Mwaka huu kuna uvumi huu,mwaka mwingine uvumi mwingine;uvumi wa ukatili katika nchi,mtawala mmoja dhidi ya mtawala mwingine.
Kusoma sura kamili Yeremia 51
Mtazamo Yeremia 51:46 katika mazingira