48 Kisha mbingu, dunia na vyote vilivyomovitaimba kwa furaha kuhusu kuanguka kwa Babuloni,waangamizi watakapofika kutoka kaskazini kuushambulia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Kusoma sura kamili Yeremia 51
Mtazamo Yeremia 51:48 katika mazingira