Yeremia 51:50 BHN

50 “Nyinyi mlinusurika kifo,ondokeni sasa, wala msisitesite!Ingawa mko nchi ya mbali mkumbukeni Mwenyezi-Mungu,ukumbukeni pia mji wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:50 katika mazingira