52 “Kwa hiyo, wakati unakuja,nasema mimi Mwenyezi-Mungu,ambapo nitaviadhibu vinyago vya Babuloni,na majeruhi watapiga kite katika nchi yake yote.
Kusoma sura kamili Yeremia 51
Mtazamo Yeremia 51:52 katika mazingira