Yeremia 51:62 BHN

62 Kisha umalizie na maneno haya: ‘Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa hata pasikaliwe na kiumbe chochote, mwanadamu au mnyama, na kwamba nchi hii itakuwa jangwa milele.’

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:62 katika mazingira