15 Nebuzaradani kapteni wa walinzi wa mfalme, aliwachukua uhamishoni watu waliokuwa wamebakia mjini na wale waliokuwa wamejisalimisha kwa mfalme wa Babuloni pamoja na mafundi.
Kusoma sura kamili Yeremia 52
Mtazamo Yeremia 52:15 katika mazingira