Yeremia 52:8 BHN

8 Lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia mfalme na kumteka katika tambarare za Yeriko, jeshi lake lote likatawanyika na kumwacha.

Kusoma sura kamili Yeremia 52

Mtazamo Yeremia 52:8 katika mazingira