Yeremia 6:23 BHN

23 Wamezishika pinde zao na mikuki,watu wakatili wasio na huruma.Vishindo vyao ni kama ngurumo ya bahari.Wamepanda farasi,wamejipanga tayari kwa vita,dhidi yako ewe Siyoni!”

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:23 katika mazingira