26 Mwenyezi-Mungu asema,“Jivikeni mavazi ya gunia, enyi watu wanguna kugaagaa katika majivu.Ombolezeni kwa uchungu,kama mtu anayemwombolezea mwana wa pekee,maana mwangamizi atakuja,na kuwashambulia ghafla.
Kusoma sura kamili Yeremia 6
Mtazamo Yeremia 6:26 katika mazingira