Yeremia 6:29 BHN

29 Mifuo inafukuta kwa nguvu,risasi inayeyukia humohumo motoni;ni bure kuendelea kuwatakasa watu wangu,waovu hawawezi kuondolewa uchafu wao.

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:29 katika mazingira