Yeremia 6:9 BHN

9 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:“Kusanyeni watu wote wa Israeli waliobakikama watu wakusanyavyo zabibu zote;kama afanyavyo mchumazabibu,pitisheni tena mikono yenu katika matawi yake.”

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:9 katika mazingira