Yeremia 8:10 BHN

10 Kwa hiyo, wake zao nitawapa watu wengine,mashamba yao nitawapa wengine.Maana, tangu mdogo hadi mkubwa,kila mmoja ana tamaa ya faida haramu.Tangu manabii hadi makuhani,kila mmoja anatenda kwa udanganyifu.

Kusoma sura kamili Yeremia 8

Mtazamo Yeremia 8:10 katika mazingira