Yeremia 9:16 BHN

16 Nitawatawanya kati ya mataifa ambayo wao wenyewe wala wazee wao hawakupata kuyajua; nitawafanya waandamwe na vita mpaka hapo nitakapowaangamiza wote.”

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:16 katika mazingira