Yeremia 9:22 BHN

22 Maiti za watu zimetapakaa kila mahalikama marundo ya mavi mashambani,kama masuke yaliyoachwa na mvunaji,wala hakuna atakayeyakusanya.’Ndivyo alivyoniambia Mwenyezi-Mungu niseme.”

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:22 katika mazingira