Yeremia 9:24 BHN

24 Anayetaka kujivuna na ajivunie jambo hili:Kwamba ananifahamukwamba anajua Mwenyezi-Mungu hutenda mema,hufanya mambo ya haki na uadilifu duniani.Watu wa namna hiyo ndio wanipendezao.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:24 katika mazingira