Yeremia 9:26 BHN

26 Wamisri, Wayuda, Waedomu, Waamoni, Wamoabu na wakazi wote wa jangwani wanaonyoa denge. Maana watu hawa wote na Waisraeli wote hawakutahiriwa moyoni.”

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:26 katika mazingira