Yeremia 9:8 BHN

8 Ndimi zao ni kama mishale yenye sumu,daima haziishi kudanganya;kila mmoja huongea vema na jirani yake,lakini moyoni mwake hupanga kumshambulia.

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:8 katika mazingira