Yeremia 1:7 BHN

7 Lakini Mwenyezi-Mungu akaniambia,“Usiseme kwamba wewe ni kijana bado.Utakwenda kwa watu wote nitakaokutuma kwao,na yote nitakayokuamuru utayasema.

Kusoma sura kamili Yeremia 1

Mtazamo Yeremia 1:7 katika mazingira