Yeremia 10:12 BHN

12 Mwenyezi-Mungu aliiumba dunia kwa nguvu zake;kwa hekima yake aliuimarisha ulimwengu,kwa akili yake alizitandaza mbingu.

Kusoma sura kamili Yeremia 10

Mtazamo Yeremia 10:12 katika mazingira