Yeremia 10:21 BHN

21 Nami Yeremia nikasema:Wachungaji wamekuwa wajinga,hawakuomba shauri kwa Mwenyezi-Mungu;kwa sababu hiyo, hawakufanikiwa,na kondoo wao wote wametawanyika.

Kusoma sura kamili Yeremia 10

Mtazamo Yeremia 10:21 katika mazingira