Yeremia 12:10 BHN

10 Wachungaji wengi wameharibu shamba langu la mizabibu,wamelikanyagakanyaga chini lililo mali yangu;shamba langu zuri wamelifanya jangwa.

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:10 katika mazingira