Yeremia 12:9 BHN

9 Wateule wangu wamekuwa ndege mzuriwanaoshambuliwa na kozi pande zote.Nenda ukawakusanye wanyama wote wakaliwaje kushiriki katika karamu.

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:9 katika mazingira