Yeremia 12:16 BHN

16 Na kama watajifunza njia za watu wangu kwa moyo wote, kama wataapa kwa jina langu kwa kusema, ‘Kama aishivyo Mwenyezi-Mungu,’ kama vile walivyowafundisha watu wangu kuapa kwa jina la mungu Baali, basi watajengeka miongoni mwa watu wangu.

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:16 katika mazingira