Yeremia 12:17 BHN

17 Lakini taifa lolote ambalo halitanitii, nitalingoa kabisa na kuliangamiza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:17 katika mazingira