Yeremia 12:3 BHN

3 Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu wanijua;wayathibiti maelekeo yangu kwako.Uwaokote hao kama kondoo wa kuchinjwa,watenge kwa ajili ya wakati wa kuuawa.

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:3 katika mazingira